P Square: Nyota wa mtindo wa Afrobeats waungana tena
Inasemekana kuwa chanzo cha kusambaratika ni malalamiko kutoka kwa Peter kutaka mabadiliko katika uongozi kwa madai kuwa kundi lilionekana la kifamilia zaidi kuliko kibiashara