Matamshi ya Naibu Rais William Ruto kuhusu Wakongo yazua gadhabu
Mjumbe wa Kenya DR Congo, alikiri kumekuwa na “maoni hasi” baada ya matamshi ya Dkt Ruto kuhusu nchi hiyo kukosa uwezo wa kufuga ng’ombe wa maziwa.