Ajali nyingine ya treni nchini DR Congo yaua takriban watu saba
Hakuna treni za abiria za kutosha na barabara chache zinazoweza kutumiwa, kwa hivyo watu wanaohitaji kusafiri umbali mrefu mara nyingi husafiri kwa treni ya mizigo.

Watu husafiri kwa treni za mizigo kinyume cha sheria mara kwa mara kwa sababu ya ukosefu wa treni za abiria na ugumu wa kusafiri kwa barabara.