DRC: Askari aliyeshikiliwa kwa uwindaji haramu na kumteka mtoto wa tumbili aachiliwa
Afisa wa polisi kutoka mashariki mwa DR Congo amezuiliwa kwa madai ya uwindaji haramu baada ya wenyeji kusikia kilio cha mtoto wa tumbili kutoka kwenye begi lake