Raia wa Afrika Kusini waandamana kumtaka Ramaphosa ajiuzulu
Wito huo wa maandamano uliamsha kumbukumbu za mapigano ya Julai 2021 ambayo yalishuhudia ghasia mbaya zaidi tangu kumalizika kwa ubaguzi wa rangi na ujio wa demokrasia mnamo 1994