Mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanaharakati wa LGBTQ Edwin Chiloba kushtakiwa
Jacktone Odhiambo, ambaye alikiri kumuua Edwin Chiloba kwa madai ya kutokuwa mwaminifu katika uhusiano wao atakabiliwa na mashtaka ya mauaji
Jacktone Odhiambo, ambaye alikiri kumuua Edwin Chiloba kwa madai ya kutokuwa mwaminifu katika uhusiano wao atakabiliwa na mashtaka ya mauaji
Jacktone Odhiambo, ambaye aliripotiwa kuwa mpenzi wa Chiloba, ameshtakiwa kwa mauaji yake na yuko chini ya ulinzi wa polisi pamoja na washukiwa wengine wanne.