Misri: Mvulana mmoja akamatwa kwa kumfanyia mchezaji soka aliyeko Cameroon mtihani
Mchezaji huyo wa kabumbu Mohamed mwenye umri wa miaka 24, yuko Cameroon na timu ya taifa ya Misri Mafarao