Misri yatangaza kuongezeka kwa ushuru kwa utumizi wa Mfereji wa Suez
Ushuru kwa meli za mafuta ya petroli zitapandishwa kwa asilimia 10 kwa ada ya kutumia mfereji huo huku wachukuzi wa gesi asilia na meli za mizigo za jumla zitapata ongezeko la asilimia saba