Wanane wafa maji wakikimbia mashambulizi ya magenge katikati mwa Nigeria
Kaskazini-magharibi na katikati mwa Nigeria ni kitovu cha magenge ya wahalifu wenye silaha kali ambao huvamia vijiji, na kuua na kuwateka nyara wakazi baada ya kupora na kuchoma nyumba zao.