Afrika Kusini yasambaza umeme kwa mgao kwa viwango vya chini zaidi
Afrika Kusini iliweka mgao mgumu zaidi wa umeme katika kipindi cha miaka miwili na nusu baada ya mizozo ya wafanyakazi kutatiza uzalishaji katika mitambo kadhaa.