Maelfu waandamana Burundi baada ya vikwazo kuondolewa
Umoja wa Ulaya na Amerika ziliweka vikwazo kutokana na ghasia zilizogharimu maisha ya Warundi 1,200 na kupelekea 400,000 kuikimbia nchi hiyo