Kenya yafuzu kushiriki mashindano ya FIVB World Championship, Poland.
Kenya imejishindia tiketi ya kushiriki mashindano ya FIVB World Championship baada ya kufika fainali ya mashindano ya voliboli ya wanawake ya bara Afrika mjini Kigali, Rwanda.