Guinea: Mtu mmoja auawa kwa kupigwa risasi wakati wa maandamano
Miaka miwili kabla ya mapinduzi nchi hiyo ilishuhudia maandamano ya mara kwa mara dhidi ya mpango wa rais huyo wa zamani wa kutaka kuwania muhula wa tatu.