Kenya: Kiwanda cha Pwani Oil chafungwa, walaumu uhaba wa dola
Kiwanda cha Pwani Oil kinachozalisha mafuta ya kupikia aina ya Freshfri, Salit na Fry Mate, imekifungia kiwanda kutokana na uhaba wa malighafi iliyoshindwa kuagiza kutokana na uhaba wa dola