Rwanda yafungua tena mpaka wake na Uganda baada ya kufungwa kwa miaka mitatu
Mpaka huo ulifungwa Februari 2019 baada ya mvutano wa kisiasa kati ya Kigali na Kampala.