Polisi wa Malawi wawakamata watu 76 baada ya maandamano ya siku nzima
Polisi na waandamanaji walikabiliana katika vitongoji vya Area 36, Area 23 na Falls Estate baada ya waandamanaji kufunga barabara kuu kwa matairi ya moto.