Fuvu la kichwa cha binadamu lagunduliwa baada ya shambulizi la fisi Kenya
Kundi la fisi limewaua watu wawili kwenye muda wa saa 24 katika kijiji kilichoko kilomita 50 tu mashariki mwa jiji la Nairobi