Idadi ya waliofariki kutokana na virusi vya corona nchini India imepita 500,000
Taarifa ya kila siku kutoka kwa wizara ya afya imeonyesha idadi ya walioaga ikifikia 500,055 na ongezeko la vifo 1,072 katika saa 24 zilizopita.