Fulana aliyovaa mwanariadha Eliud Kipchoge katika mbio alizoshiriki yanunuliwa katika mnada kwa Ksh 242,472
Mnada ulifanywa na Catawiki kwa lengo la kupata fedha za kufadhili elimu ya wanafunzi maskini kupitia wakfu wa Eliud Kipchoge.