Wanajihadi waua 30 kaskazini mashariki mwa Nigeria
Kulingana na UN mapigano ya wanajihadi yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 40,000 na wengine milioni mbili kuyahama makazi yao kaskazini-mashariki tangu 2009.
Kulingana na UN mapigano ya wanajihadi yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 40,000 na wengine milioni mbili kuyahama makazi yao kaskazini-mashariki tangu 2009.
Zaidi ya wakimbizi wapya 36,000 waliwasili Niger kati ya Januari na katikati ya Aprili kufuatia ghasia nchini Mali, Nigeria na Burkina Faso, na kufanya idadi yao kufikia karibu 360,000 UNHCR imesema