Ivory Coast inaitaka Mali kuwaachilia huru wanajeshi wake waliozuiliwa
Ivory Coast inaitaka Mali kuwaachilia huru wanajeshi wake 49 waliozuiliwa katika uwanja wa ndege wa Bamako na kushutumiwa na maafisa kuwa mamluki.