Alitajwa kuwa ‘Rais maskini zaidi duniani’ kwa kuamua kuishi maisha ya kawaida.
Akiwa Rais Mujica hakubadili maisha yake hata kidogo, 90% ya mshahara wake ambao ulikuwa ni takriban $12,000 ulitumika kuwasaidia wasiojiweza katika jamii.