HRW: Waasi wa M23 wamewaua raia 29 nchini DR Congo tangu katikati ya Juni
Kundi la M23 ‘March 23 Movement’ lilipata umaarufu wakati liliteka kwa muda mji wa Goma mashariki mwa Congo mwaka 2012 kabla ya kufurushwa katika mashambulizi ya pamoja ya Umoja wa Mataifa na Congo.