Waziri Mkuu mpya wa Lesotho aingia madarakani
Mwanasiasa Sam Matekane siku ya Ijumaa alikula kiapo cha kuwa waziri mkuu mpya wa Lesotho katika uwanja wa Setsoto uliofurika katika mji mkuu, Maseru.

Lesotho is one of the poorest countries in southern Africa, but politicians are constantly fighting for control of the tiny country.