Mali yaanza uchunguzi kuhusu mauji yanayodaiwa kutekelezwa na Warusi
Shirika la kutetea haki za binadamu la HRW lilisema kwamba vikosi vya Mali na wapiganaji wa kigeni waliwaua raia 300 huko Moura, katika kile ilichokiita “ukatili mmoja mbaya zaidi kuripotiwa”