Karim Mandonga Apigwa Na Bondia Moses Golola Wa Uganda (video)
Ikumbukwe ndani ya siku nane, Mandonga amepigana mapambano mawili na amepoteza yote
Ikumbukwe ndani ya siku nane, Mandonga amepigana mapambano mawili na amepoteza yote
Pigano linalosubiriwa kwa hamu na gamu dhidi ya mandonga nan a mganda Kenneth Lukyamuzi litapeperushwa moja kwa moja kuanzia saa moja usiku kutoka ukumbi wa Kasarani Gymnasium.