Polisi wawekwa kikaangoni sakata la mauaji Mtwara.
Rais Samia ataka kamati huru kuchunguza tukio hilo, asema polisi haiwezi kujifanyia uchunguzi yenyewe
Rais Samia ataka kamati huru kuchunguza tukio hilo, asema polisi haiwezi kujifanyia uchunguzi yenyewe
Imani za kishirikina, tamaa ya mali na wivu wa mapenzi vimetajwa kuwa ni miongoni mwa sababu za mauaji hayo