22 wakamatwa kwa tuhuma za mauaji
Jeshi la Polisi jijini Mbeya nchini Tanzania linawashikilia watu 22 kwa tuhuma za kuhusika na matukio ya mauaji ambayo yametokea jijini humo.