Mtu aliyesafirisha na kuuza tamthilia ya ‘Squid Game’ nchini Korea Kaskazini ahukumiwa kifo kwa kupigwa risasi
Wanafunzi wengine sita wa shule ya upili ambao walitazama kipindi hicho walisemekana kuhukumiwa miaka mitano ya kazi ngumu.