UN: Zaidi ya wakimbizi 36,000 wamekimbilia Niger mwaka huu
Zaidi ya wakimbizi wapya 36,000 waliwasili Niger kati ya Januari na katikati ya Aprili kufuatia ghasia nchini Mali, Nigeria na Burkina Faso, na kufanya idadi yao kufikia karibu 360,000 UNHCR imesema