Umetafuta kazi umekosa jaribu hizi ambazo hazihitaji shahada ya chuo
Zipo kazi ambazo unaweza kufanya bila kuhitaji stakabadhi za chuo kikuu au kuhitaji tajriba ya miaka mingi.