Nigeria: Watu wenye silaha washambulia mgodi na kuwateka nyara wafanyakazi wanne raia wa China
Wafanyakazi wa China wanaofanya kazi kwenye migodi na miradi mikubwa ya miundombinu katika maeneo ya mbali mara nyingi hulengwa kwa utekaji nyara,
Wafanyakazi wa China wanaofanya kazi kwenye migodi na miradi mikubwa ya miundombinu katika maeneo ya mbali mara nyingi hulengwa kwa utekaji nyara,
Jimbo la Zamfara kaskazini mwa Nigeria litaruhusu watu kubeba bunduki ili kujilinda dhidi ya majambazi wenye silaha baada ya mamlaka kushindwa kuzuia ongezeko la utekaji nyara na mauaji.
Katika miezi ya hivi karibuni, wameshambulia treni ya abiria kati ya mji mkuu wa Abuja na mji wa Kaduna na kuwateka nyara makumi ya watu na kuua zaidi ya wanavijiji 100
Machafuko ya wanajihadi yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 40,000 na wengine milioni mbili kuyahama makazi yao kaskazini-mashariki tangu 2009, kulingana na UN.
Kulingana na UN mapigano ya wanajihadi yamesababisha vifo vya zaidi ya watu 40,000 na wengine milioni mbili kuyahama makazi yao kaskazini-mashariki tangu 2009.