Watu wenye silaha washambulia treni ya abiria kaskazini magharibi mwa Nigeria
Hili lilikuwa ni shambulizi la hivi punde zaidi lililohusishwa na magenge ya wahalifu wenye silaha, ambao wanalaumiwa kwa kuongezeka kwa ghasia na utekaji nyara mkubwa kaskazini magharibi mwa Nigeria.