Kenya: Outering Road kati ya barabara hatari duniani, mkutano wa UN waambiwa
Barabara ya Outering ilichangia vifo 44 kati ya 371 vilivyorekodiwa mwaka jana ikifuatwa kwa karibu na Waiyaki Way, ambayo iligharimu maisha ya watu 38, na Barabara ya Mombasa kwa vifo 29.