Pacha wawili wa Japani wathibitishwa na Guinness World Records kuwa pacha wazee zaidi duniani.
Pacha wawili kutoka Japan wamethibitishwa na Guiness World Records kuwa pacha wazee zaidi duniani wakiwa na umri wa miaka 107 na siku 300.