UN yatoa wito wa dharura wa dola milioni 110 kwa wahanga wa tetemeko la ardhi Afghanistan
Tetemeko la kipimo cha 5.9 lilipiga jimbo la Paktika mashariki mwa nchi, na kuua zaidi ya watu 1,000 na kuwaacha makumi kwa maelfu bila makazi.