Prof.Assad asema bora kusimamia unachokiamini kuliko kuwa na unafiki, adai maisha yake kwa sasa ni mazuri baada ya kusimamia anachokiamini
Profesa Mussa Assad amesema hapendi kuitwa Mstaafu na neno hilo linamchukiza, kutokana na yeye kuwa hajawahi kuwa mstaafu bali aliondolewa kazini pasipo kufatwa taratibu za kisheri.