Wafaransa wakaribishwa kuja kuwekeza Tanzania
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini Ufaransa kuja kuwekeza nchini mwake huku akisema serikali ya Tanzania imeboresha mazingira ya kufanya biashara nchini humo.