Uundaji wa ramani 38 za kidijitali wakamilka
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini Tanzania, imekamilisha uandaaji ramani za kidijitali zinatotumika kama ramani za msingi kwenye utekelezaji mfumo wa anuani za makazi katika halmashauri 38 nchini humo .