Waasi waua watu 16 katika shambulio la mashariki mwa DR Congo
Shambulio hilo lilitokea Jumapili jioni huko Bulongo katika jimbo la Kivu Kaskazini
Shambulio hilo lilitokea Jumapili jioni huko Bulongo katika jimbo la Kivu Kaskazini
Waasi wa ADF, ambao wanafungamana na kundi la Islamic State kama mshirika wake wa Afrika ya kati, wamehusika na ghasia kali dhidi ya raia — mara nyingi kwa mapanga na silaha nyinginezo.