Waasi 33 wauawa mashariki mwa DR Congo
Makundi ya waasi ya FNL na RED-Tabara yana kambi mashariki mwa DR Congo, eneo ambalo limevurugika kutokana na kuwepo kwa makundi mengi yenye silaha ndani na nje ya nchi.