Jeshi lililochukua uongozi Mali laamuru kituo cha Ufaransa RFI, na France 24 kusimamisha matangazo yao
RFI (Radio France Internationale) na France 24 zinaripoti habari za Kiafrika kwa upana na zina ufuasi mkubwa katika koloni la zamani la Ufaransa.