Singapore yamhukumu kifo mtu mwenye ulemavu wa akili licha ya kilio kutoka kwa wanaharakati
Nagaenthran K. Dharmalingam alikamatwa mwaka wa 2009 kwa kusafirisha kiasi kidogo cha heroini, na alihukumiwa kifo mwaka uliofuata.