Mnyarwanda Salima Mukansanga amekuwa mwanamke wa kwanza kuwa mwamuzi wa mechi za AFCON
Salima alikuwa afisa wa nne wakati Guinea ilipoishinda Malawi mnamo Januari 10 mjini Bafoussam.