Mafuriko mapya yakumba Afrika Kusini
Mvua kubwa iliyonyesha mwishoni mwa mwezi Aprili iliua watu 435 katika mafuriko na maporomoko ya ardhi.
Mvua kubwa iliyonyesha mwishoni mwa mwezi Aprili iliua watu 435 katika mafuriko na maporomoko ya ardhi.
Mvua za ghafla zimenyesha sehemu za mkoa wa kusini ikijumuisha East London kwenye pwani ya Bahari ya Hindi