Afrika Kusini: Idadi ya vifo kutokana na mafuriko imeongezeka hadi 443
Wanasayansi wanaonya kuwa mafuriko na matukio mengine mabaya ya hali ya hewa yanazidi kuwa na nguvu kadiri dunia inavyozidi kuwa na joto kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa.
Wanasayansi wanaonya kuwa mafuriko na matukio mengine mabaya ya hali ya hewa yanazidi kuwa na nguvu kadiri dunia inavyozidi kuwa na joto kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa.
Mvua kubwa zaidi kuwahi kunyesha katika miaka 60 iliikumba manispaa ya Durban, inayojulikana kama eThekwini.
Idadi ya watu waliofariki kutokana na mafuriko na maporomoko ya udongo baada ya mvua kunyesha katika mji wa bandari wa…