Afrika Kusini: Idadi ya vifo kutokana na mafuriko imeongezeka hadi 443
Wanasayansi wanaonya kuwa mafuriko na matukio mengine mabaya ya hali ya hewa yanazidi kuwa na nguvu kadiri dunia inavyozidi kuwa na joto kwa sababu ya mabadiliko ya hali ya hewa.