Kesi ya ufisadi ya Zuma nchini Afrika Kusini imeahirishwa hadi Agosti
Zuma anakabiliwa na makosa 16 ya ufisadi na ulaghai yanayohusiana na kandarasi ya kununua ndege za kivita, boti za doria na vifaa kutoka kwa makampuni matano ya silaha ya Ulaya alipokuwa makamu wa rais