Watu 30 wauawa katika mashambulizi ya siku mbili nchini DR Congo: Msalaba Mwekundu
Waasi wa ADF, ambao wanafungamana na kundi la Islamic State kama mshirika wake wa Afrika ya kati, wamehusika na ghasia kali dhidi ya raia — mara nyingi kwa mapanga na silaha nyinginezo.