Dkt Ndugulile:Serikali ibebe mzigo wa deni la NSSF daraja la Kigamboni
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile ameitaka serikali kuondoa malipo kwa vyombo vya moto vinavyovuka Daraja la Nyerere, maarufu Daraja la Kigamboni, na mzigo huo wa deni la NSSSF ubebwe na serikali.